Updated Saturday, June 4, 2016

About us

Mithali 20:15
Dhahabu ipo, na marijani tele; Lakini midomo ya maarifa ni kito cha thamani.Nimeanzisha Kwetustar February 2016 kwa ajili ya watu wanaopenda kudadisi na waliotayari kufungua mawazo yao kwa habari za maarifa na elimu zaidi.
Dunia kwa sasa inapita kwenye vipindi vingi tofauti na siri kubwa imefichika kwa yale yote yanayotendeka hapa. Ni vyema tukajifunza na sisi kwa uwezo wetu tukachukua hatua ili kukomesha chochote chenye madhara kwa maisha ya binadamu.

Mithali 9:9
Mwelimishe mwenye hekima,naye atazidi kuwa na hekima; Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimuKama una mawazo mazuri ya kuvutia ambayo yanawezekana kutumika kwa kuelimisha na kusaidia watu
katika hii blog, kama unapenda kuchangia uandishi kwetustar.com, acha e-mail yako na makala yako 
itawekwa kwenye hii tovuti.

Kama una maoni na ushauri wasiliana nasi kupitia email; smartdot52@yahoo.com, napenda kusikia chochote 
kutoka kwako.Kama umevutiwa kutangaza katika tovuti hii, wasiliana nasi kwa email; dollarforce@yahoo.com
About us About us Reviewed by Bill Bright Williams on 4:01:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.