Updated Tuesday, April 11, 2017

Watu 10 Maarufu waliouliwa na Illuminati


Watu maarufu waliouawa na Illuminati, Maelezo haya yanaelezea kila kifo na sadaka. Illuminati ni jamii ya siri ambayo inasadikika kutengeneza matukio yote yanayotokea duniani.
Watu wengi maarufu inaaminiwa waliuliwa na Illuminati kwa kushindwa kuenenda na malengo yao. Ila kuna wengine wameuliwa kwa ajili ya sadaka za damu na kwa faida zaidi ya mashirika yao.

Ni vigumu kudhibitisha, ila yatatolewa maelezo na itakuwa ni chaguo lako kukubali au kukataa.

1.Michael Jackson

Michael Jackson alifariki tarehe 25/06.2009, siku chache kabla ya kuanza ziara ya mziki nchini Uingereza.
Kabla ya kifo chache, Michael Jackson alikuwa anasema mbaya juu yao kwamba wanajitahidi kwa hali na mali kutawala tasnia yote ya mziki.
Na mara zote alikuwa anamwambia dada yake La Toya Jackson kwamba wanajaribu kumuua kwa kwenda tofauti nao.

2.John Lennon

John Lennon alionekana kama ni mwiba kwa watu wengi waliokuwa madarakani.FBI walikuwa wanamchunguza kwa kamera za siri.
Lennon mara kwa mara alikuwa anapinga uovu kwenye sekta, na aliuliwa na Mark Davidi Chapman ambaye alikuwa akishikiliwa akili na Illuminati(Illuminati mind control)

3.John F.Kennedy

Awali inaaminika John F.Kennedy alikuwa anaushirika wa karibu na Illuminati.Mara baada ya kuanza kuwapinga, Illuminati wakapanga jinsi ya kumuua. Aliuliwa 22/11/1963

4.Martin Luther King,Jr.

Illuminati walimchukia Martin kwa kuwa alikuwa na ushawishi mkubwa.
Mara alipoanza kuongea na kupinga vita vya Vietnam, vita ambavyo vilikuwa na faida kubwa kwa makampuni mengi,Illuminati walichora mchoro wa jinsi ya kumuua, Martin aliuwawa 04/04/1968.

5.Abraham Lincoln

Abraham Lincoln aliona biashara kubwa na makampuni makubwa ni kikwazo kwake.Illuminati walikuwa na lengo la kumuua ili kumzuia kuongea tofauti na IlluminatiNa walifanikiwa kumuua tarehe 15/04/1865.

6.Malcolm X

Malcom alikuwa mtu mwenye ushawishi sana na mtu hatari kwa Illuminati.Aliongea sana, akishawishi kupinga muundo wa mamlaka kwa kuchukua hatua kali.
Malcolm X aliuliwa 21/02/1965

7.Bob Marley

Kwa kutumia muziki wake wa raggae, Bob Marley alipata umaarufu duniani kote kwa kuimba muziki unaochochea upendo, furaha, umoja, vitu vyote ambavyo havipo katika ajenda za Illuminati.
Watu wengi wanaamini Marley alichomwa sindano iliokuja kumletea kansa na watu waliokua anataka kumnyamazisha.Alikufa 11/05/1981.

8.Princess Diana

Familia ya kifalme Uingereza iko karibu sana na Illuminati. Pale Princess Diana na Prince Charles walipoachana, ilikuwa ni chukizo sana kwa familia ya kifalme.
Princess Diana alipendwa sana na baadhi ya watu a Uingereza na duniani kwa ujumla, na mara baada ya kuachana na familia ya kifalme, alikufa katika ajali ya gari 31/08/1997.

9.Bruce Lee

Bruce Lee alikuwa akisema anatazamwa na kufuatiliwa na mapepo.Kifo chache kinasadikika ilikuwa ni sadaka kwa Illuminati
Bruce Lee alikuwa 20/06/1973.

10.Tupac Amaru Shakur

Tupac ni miongoni ma rapper anaependwa mara zote na miongoni mwa wachache aliokua anawafichua Illuminati.
Tupac alikuwa anatumia neno Killuminati akiwa na maana killing Illuminati. Na kwa kuwa alizidi sana kuwaponda Illuminati, aliuwawa tarehe 7/09/1996.


Watu 10 Maarufu waliouliwa na Illuminati Watu 10 Maarufu waliouliwa na Illuminati Reviewed by Bill Bright Williams on 6:00:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.