Updated Friday, April 14, 2017

Urusi wamezuia ndege za Marekani (United Airlines) kupita katika anga lao


Mamlaka nchini Urusi zimeweka pingamizi la kuzuia ndege za Marekani(United Airline) kupita katika anga lao kutokana na kitendo cha daktari kupigwa na kuburuzwa ndani ya ndege.

Angalia video kamili ya daktari alivyokuwa anaburuzwa ndani ya ndegeNdege hizi zinasafiri kutoka San Fransisco hadi Shanghai.

Ndege hizi zinalaumiwa ka kitendo cha walinzi wa ndani ya ndege kum-buruza mmoja wa abiria kutokana na ndege kuwa tayari imeshajaa, walinzi hawa walifanikiwa kumuumiza na kumtoa meno mawili.

Urusi wamezuia ndege za Marekani (United Airlines) kupita katika anga lao Urusi wamezuia ndege za Marekani (United Airlines) kupita katika anga lao Reviewed by Bill Bright Williams on 5:15:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.