Updated Thursday, April 13, 2017

Rais wa Urusi asema shambulio la gesi nchini Syria ni mbinu chafu; mengi zaidi yanakuja


Kitendo cha waasi kuingiza gesi za sumu kupitia Uturuki na Iraq huku nchini za magharibi zikifumbia macho na kudanganya kwa umma kwamba Serikali ya Syria ndio inahusika na mashambulio hayo ni uongo, na uongo huu kwa watu wa kawaida inawapelekea kuamini.

"Tumeshatangaza kwa vyanzo mbalimbali kwamba uongo kama huu umeandalia na unaendelewa kuandaliwa kwa sehemu mbalimbali za Syria, ikiwa pamoja na maeneo ya kusini ya Damascus. Mpango wa kuweka gesi za sumu na kuilahumu serikali ya Syria kwa kufanya mashambulio" Alisema Vladimir Putin tarehe 11/04/2017.

Kwa mtu yeyote anaeamini sera za nje za Marekani anatakiwa aamini maneno yangu.Serikali ya Marekani imejitahidi mara zote kumpaka matope Putin kwamba ni mtu muovu zaidi duniani, mla rushwa, aaminiki na hata kumfananisha na hitler.

Hivi ni kwanini propaganda hizi zipo sana kwa serikali ya Marekani?

Rais wa Urusi asema shambulio la gesi nchini Syria ni mbinu chafu; mengi zaidi yanakuja Rais wa Urusi asema shambulio la gesi nchini Syria ni mbinu chafu; mengi zaidi yanakuja Reviewed by Bill Bright Williams on 1:35:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.