Updated Monday, April 10, 2017

Pembe za Vifaru kutoka Msumbiji zakamatwa katika uwanja wa ndege Malaysia


Pembe za Vifaru zenya thamani ya dola milioni 3.1 zakamatwa na maafisa katika uwanja wa ndege nchini Malaysia.

Maafisa wa utekelezaji nchini Malaysia wakamata pembe za Vifaru za thamani ya dola milioni 3.1 zilizosafirishwa kutoka msumbiji.

Pembe hizo za Vifaru zilikuwa na uzito wa takriban kilo 51.4.

Mkurugenzi wa Forodha wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuala Lumpur, Hamzah Sundang alifahamisha kuwa waligundua kreti ya mzigo ambao ulikuwa na pembe hizo .

Ugunduzi huo umefumbua kuwa Malaysia sasa inatumika katika kusafirisha pembe za wanyama kutoka Afrika kwa njia ya kimagendo.
Pembe za Vifaru kutoka Msumbiji zakamatwa katika uwanja wa ndege Malaysia Pembe za Vifaru kutoka Msumbiji zakamatwa katika uwanja wa ndege Malaysia Reviewed by Bill Bright Williams on 11:03:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.