Updated Thursday, April 13, 2017

Japan kupeleka manuari za kivita Korea Kaskazini kutokana na mvutano wa vita ya tatu ya dunia


Japan inapeleka manuari zake za kivita katika peninsula ya Korea kutokana na mvutano wa vita kuzidi zaidi kati ya Korea Kaskazini na nchi za Magharibi.

Manoari za Japan zitaungana na zile za Marekani kwa ajili ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na kuonyesha umoja wao dhidi ya utawala wa Kim Jong-un.

Japan kupeleka manuari za kivita Korea Kaskazini kutokana na mvutano wa vita ya tatu ya dunia Japan kupeleka manuari za kivita Korea Kaskazini kutokana na  mvutano wa vita ya tatu ya dunia Reviewed by Bill Bright Williams on 12:41:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.