Updated Thursday, April 20, 2017

Baba Vanga’s alitabiri kuhusu Syria na vita ya tatu ya Dunia


Nabii kutoka Bulgaria Baba Vanga alielezea uwezekano wa kutokea vita kuu ya tatu ya dunia mwaka huu, alisema vita hivyo vitatokea mapema tu mara baada ya shambulio la kemikali kutokea nchini Syria.

Vanga hapo awali alishawai kutabiri kuhusu shambulio la Marekani 9/11, kujitoa kwa Uingereza umoja wa Ulaya, utabiri wa ushindi wa Barack Obama, Tsunami na kuinuka kwa kundi la ISIS.

Pia amesema vita vya nyuklia vitaharibu sana dunia na watu wengi watakufa kwa kansa ya ngozi kutokana na silaha za kemikali.

Baba Vanga’s alitabiri kuhusu Syria na vita ya tatu ya Dunia Baba Vanga’s alitabiri  kuhusu Syria na vita ya tatu ya Dunia Reviewed by Bill Bright Williams on 8:28:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.