Updated Tuesday, March 14, 2017

Zijue simu za Android zenye virusi vya CIA Malware


Aina za simu mbalimbali za Android zenye virus vya Malware zimeshatambuliwa, baada ya commercial scanner kukuta mdudu hatari aina ya Malware kwenye aina tofauti 38 za simu.

Hii imekuja baada ya WikiLeaks kutoboa siri na kusema CIA wanadukua smartphones, na wanazidhuru kwa virusi vya Malware kwa madhumuni ya kuwachunguza raia.

Kwa mujibu wa Check Point Software Technologies, virusi hizi vilipatikana kwa simu zenye android, ambapo virusi hizi havijawekwa kwenye hizo simu na watengenezaji wa simu hizo.

Kwa asilimia kubwa, kirusi hiki wamekiweka hili kuiba mambo yako muhimu unayoifadhi kwenye simu. Application hizi zinazotumika kukuletea matangazo kwenye simu yako zina malware, kuna app ya "Loki" na "Sloker".

Hizi ni simu zilizoathirika na kirusi cha Malware:

-- Galaxy Note 2
-- LG G4
-- Galaxy S7
-- Galaxy S4
-- Galaxy Note 4
-- Galaxy Note 5
-- Galaxy Note 8
-- Xiaomi Mi 4i
-- Galaxy A5
-- ZTE x500
-- Galaxy Note 3
-- Galaxy Note Edge
-- Galaxy Tab S2
-- Galaxy Tab 2
-- Oppo N3
-- vivo X6 plus
-- Asus Zenfone 2
-- LenovoS90
-- OppoR7 plus
-- Xiaomi Redmi
-- Lenovo A850

Check point hawajaelezea hasa majina ya makampuni yanayomiliki hizi simu zilizoathirika na hivi virusi vya Malware.

Zijue simu za Android zenye virusi vya CIA Malware Zijue simu za Android zenye virusi vya CIA Malware Reviewed by Bill Bright Williams on 10:26:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.