Updated Monday, March 27, 2017

Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini watafuta kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo


Ofisi ya Mwendesha Mashtaka nchini Korea Kusini inatafuta kumkamata aliyekuwa rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za rushwa.

Taarifa iliyotolewa na makao makuu ya ofisi hiyo iliyopewa jukumu la kuchunguza kashfa ya rushwa inayomkabili Park, imesema hati ya kumkamata Park inatafutwa kutokana na hofu ya uwezekano wa kuvuruga ushahidi. Taarifa hiyo imesema Park amekana mashtaka mengi ya uhalifu dhidi yake licha ya kuwa na ushahidi kadhaa.
Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini watafuta kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini watafuta kumkamata rais wa zamani wa nchi hiyo Reviewed by Bill Bright Williams on 2:55:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.