Updated Monday, March 20, 2017

Utabiri wa kifo cha Rockefeller umetimia- Bado Malkia Elizabeth


Mtiifu wa "New World Order" David Rockefeller amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101 baada ya kuugua na moyo wake kushindwa kufanyakazi siku ya jumatatu asubuhi katika nyumba yake huko New York.

Rockefeller ni sehemu ya wasomi wa Marekani( America’s elite), ambapo familia yake inasemekana ni familia isiyo rasmi ila ni familia ya kifalme nchini Marekani, na alikiri mwaka 2015 kwamba njama za kuleta serikali moja ya kidunia ni sahihi na thabiti:

Familia hii ilijengwa kwa utajiri usiopimika zaidi ya miaka kadhaa kwa kuteka nyara za serikali, Mashirika na vyombo vya habari, vyuo vikuu, big oil na big pharma kwa ajili ya kupata udhibiti wa serikali na jamii.

Kwa mujibu wa utabiri sahihi uliofanywa January, David Rockefeller alitarajiwa kufa mwaka huu, pamoja na Malkia Elizabeth II, na marais wa zamani wa Marekani, akiwemo George H.W. Bush na Jimmy Carter.

Wamiliki wa DeathList.net walisema kwamba Malkia mwenye umri wa miaka 90, na mumewe Prince Philip, 95, ni wa pili katika mstari wa kufa mwaka huu.

Utabiri wa kifo cha Rockefeller umetimia- Bado Malkia Elizabeth Utabiri wa kifo cha Rockefeller umetimia- Bado Malkia Elizabeth Reviewed by Bill Bright Williams on 11:25:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.