Updated Sunday, March 5, 2017

Trump amtuhumu Obama kudukua mawasiliano yake


Rais Donald Trump amtuhumu Barack Obama kudukua mawasiliano katika simu yake.
Rais Donald Trump amemtuhumu rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kudukua mawasiliano katika simu yake mwezi mmoja kabla ya kushinda katika uchaguzi mkuu nchini Marekani.

Katika ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa amegundua kuwa rais Obama alidukua simu yake katika ofisi zake zinazopatikana katika jengo la Trump Tower.

Rais Trump alikemea kitendo hicho na kusema kuwa  ni njia mbaya  ya kumfanyia mtu uchunguzi.

Trump amtuhumu Obama kudukua mawasiliano yake Trump amtuhumu Obama kudukua mawasiliano yake Reviewed by Bill Bright Williams on 12:35:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.