Updated Wednesday, March 1, 2017

Obama aombwa kugombea urais wa Ufaransa


Raia wa Ufaransa wamemtaka Rais aliyemaliza muda wake nchini Marekani Barrack Obama kuwania uraisi katika uchaguzi mkuu nchini Ufaransa

 Licha ya Obama kutokuwa raia wa Ufaransa, raia wa nchi hiyo wanamtaka Barrack Obama kwa madai kuwa viongozi wanao wania kugombea kiti hicho kutokidhi mahitaji yao.

 Ufaransa wanatarajia kufanya uchaguzi mkuu tarehe 25 mwezi April na iwapo wagombea watashindwa kupata asilimia 50 ya kura watalazimika kurudi kupiga kura tarehe 7 mwezi wa tano.
Obama aombwa kugombea urais wa Ufaransa Obama aombwa kugombea urais wa Ufaransa Reviewed by Bill Bright Williams on 2:28:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.