Updated Friday, March 31, 2017

Magereza nchini Brazil wanatumia bata bukini kwa ulinzi


Bata hawa jamii ya bukini wameanza kutumika nchini Brazil ili kusaidia jaribio lolote la wafunga kutaka kutoroka.

Gereza la Sobral wamedai kwamba wanatumia ndege huyu kwa ulinzi kwa kuwa bata huyu wanauwezo mkubwa wa kusikia na kuhisi mitikisiko au vishindo vya hatari.

Na pia bata hawa wanatumika kama king'ola cha tahadhari, ambapo watasaidia maofisa kugundua vurugu yeyote itakayokua inatokea maeneo ya gereza.

Haijafahamika kama ulinzi huu wa kutumia bata bukini utakuwa wa kudumu au kwa mda mfupi.

Magereza nchini Brazil wanatumia bata bukini kwa ulinzi Magereza nchini Brazil wanatumia bata bukini kwa ulinzi Reviewed by Bill Bright Williams on 3:06:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.