Updated Thursday, March 30, 2017

Je wajua mbwa aina hii hawezi kubweka?


Mbwa aina ya Basenji, mbwa anaetumika kwa uwindaji. Ni mbwa mwenye asili yake Afrika ya kati.

Mbwa huyu anaweza kuishi miaka 12 hadi 16, anapatikana zaidi  Democratic Republic of the Congo.

Mbwa huyu anakuwa mrefu kati ya nchi 16-17, yupo rangi tofauti.
Ila cha ajabu kwa mbwa huyu ni kwamba hawezi kubweka kama mbwa wengine.
Je wajua mbwa aina hii hawezi kubweka? Je wajua mbwa aina hii hawezi kubweka? Reviewed by Bill Bright Williams on 8:30:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.