Updated Friday, March 17, 2017

Iran wamepewa ruhusa kuwa na kikosi maalum cha wanamaji nchini Syria


Iran wamepata ruhusa ya kutengeneza kikosi cha wanamaji nchini Syria.

Kwa mujibu wa ripoti zilizoenea, Rais wa Syria Bashar al-Assad amethibitisha kutengenezwa kwa kikosi cha wanamaji kutoka Iran karibu na uwanja wa ndege wa Hmeymim unaotumiwa na kikosi cha anga cha Urusi.

Ingawa hakuna uthibitisho wowote wa kiserikali, haya maneno yameenezwa zaidi na waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu wakati alivyokuwa anaongea na raisi wa Urusi, Vladimir Putin. 
Iran wamepewa ruhusa kuwa na kikosi maalum cha wanamaji nchini Syria Iran wamepewa ruhusa kuwa na kikosi maalum cha wanamaji nchini Syria Reviewed by Bill Bright Williams on 12:26:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.