Updated Wednesday, March 29, 2017

Hii ni Samsung Galaxy S8, itazinduliwa April 21


Samsung galaxy s8 ni simu nzuri haijapata kutokea. Ina muunganiko wa glass, chuma na kioo kizuri, inatarajiwa kuwa rasmi sokoni mwezi ujao.

Uzinduzi huo unafuatia kufeli kwa simu aina ya Note 7 ambayo ilihusishwa mara mbili na visa vya kuwaka moto.
Kampuni hiyo ya Korea Kusini ilidai kuwa betri ya Note 7 ndiyo ilikuwa na tatizo.

Simu hiyo inatajwa kuwa bora, lakini Samsung itahitaji kujitahidi ziadi ili kuepuka kasoro uliyokumba simu ya Note 7.
Galaxy S8 itauza dola 856 na  S8+ itauzwa dola 968.
Hii ni Samsung Galaxy S8, itazinduliwa April 21 Hii ni Samsung Galaxy S8, itazinduliwa April 21 Reviewed by Bill Bright Williams on 11:32:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.