Updated Monday, March 27, 2017
Aliekuwa waziri wa habari, Nape Nnauyea asema haya baada ya rapper Ney wa Mitego kuachiwa huru
Mara tu baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, kutoa agizo kwa jeshi la polisi kumuachia msanii Nay wa Mitego na kutaka wimbo wake ‘Wapo’ uchezwe redioni, aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter hakuweza kuficha hisia zake juu ya maamuzi ambapo aliyaandika haya.
“Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney!” – Ney wa Mitego.
Aliekuwa waziri wa habari, Nape Nnauyea asema haya baada ya rapper Ney wa Mitego kuachiwa huru
Reviewed by Bill Bright Williams
on
10:20:00 AM
Rating:
