Updated Monday, March 20, 2017

Aliekuwa na malengo ya serikali moja ya dunia, David Rockefeller amefariki akiwa na miaka 101


Bilionaire na aliekuwa na malengo ya serikali moja (one world government), David Rockefeller amefariki akiwa na umri wa miaka 101.

Mauti imempata akiwa usingizini, nyumbani kwake Pocantico Hills jumatatu asubuhi, hii ni kwa mujibu wa muongeaji wa familia Fraser P Seitel.

Rockefeller, aliekuwa anaongoza benki ya Chase Manhattan kwa zaidi ya miongo kadhaa, alikuwa ni mjukuu wa muanzilishi wa Standard Oil, John D Rockefeller.

Alikuwa ni mtu pekee alie ishi sana katika familia ya Rockefeller- moja kati ya familia maarufu na yenye ushawishi mkubwa Marekani.
Aliekuwa na malengo ya serikali moja ya dunia, David Rockefeller amefariki akiwa na miaka 101 Aliekuwa na malengo ya serikali moja ya dunia, David Rockefeller amefariki akiwa na miaka 101 Reviewed by Bill Bright Williams on 9:26:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.