Updated Sunday, March 12, 2017

Agenda 21? Inahusu kupuguza watu kwa asilimia 95% duniani kote hadi 2030


Watu wengi hawafahamu kuwa, adui mkubwa wa uhuru wa binadamu ni programu ya umoja wa mataifa ambayo ina mipango thabiti ya kuwapunguza watu kwa asilimia 95% duniani.

Jina la huu mpango ni Agenda 21, na umetengenezwa na umoja wa mataifa idara ya uchumi na social affairs, kipengele cha maendeleo thabiti, ikiwa ni sehemu ya sera zao za uhakika.

Kwa mujibu wa tovuti ya umoja wa mataifa, Agenda 21 ina mipango iliyojumlisha matendo yanayopaswa kutokea duniani kote, kimataifa, kitaifa na kwenye organizations zote za mifumo ya umoja wa mataifa, serikali na makundi makubwa, kwa kila eneo ambalo binadamu wameleta mabadiliko kwenye mazingira.


Agenda 21? Inahusu kupuguza watu kwa asilimia 95% duniani kote hadi 2030 Agenda 21? Inahusu kupuguza watu kwa asilimia 95% duniani kote hadi 2030 Reviewed by Bill Bright Williams on 1:42:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.