Updated Saturday, February 18, 2017

Trump asifia kampuni ya Boeing


Rais wa Marekani Donald Trump ameshangaza watu wengi kwa kutembelea shirika la ndege la Boeing lililopo kusini mwa Carolina.
Bwana Trump amesema shirika hilo ni fursa kubwa kwa raia wa Marekani kupata kazi.

Kama Bwana Trump alivyotoa ahadi awali wakati wa kampeni zake,alisema atahakikisha kuwa marekani inarudi kuwa bora kama zamani.

Hata hivyo inasemekana Bwana Trump aliponda na kukashifu sana kampuni hiyo miaka ya nyuma na sasa ni jambo la ajabu kuona anawaunga tena mkono.

Hali kadhalika Rais Trump amesema kama jina lenyewe la kampuni"Dreamliner" ndiyo Marekani itakavyo badilisha ndoto zake kuwa kweli.

Trump asifia kampuni ya Boeing Trump asifia kampuni ya Boeing Reviewed by Bill Bright Williams on 10:27:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.