Updated Tuesday, February 14, 2017

Ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un auawa nchini Malaysia


Kim Jong-nam mwenye umri wa miaka 46 ambae ni ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini ameuawa nchini Malaysia.
Kim Jong-nam mwenye umri wa miaka 46 ambae ni ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini ameuawa nchini Malaysia.

Ripoti zinaonyesha kuwa Kim Jung-nam alishambuliwa katika uwanja wa ndege wa Kuala Lumpur na mtu asiyejulikana.

Hata hivyo inasemekana kuwa Kim Jong-nam amefia njiani wakati akiwahishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Kim Jong-nam ni ndugu wa kambo wa Kim Jong-Un na ni mtoto wa kwanza wa Kım Jong-il aliyetawala Korea Kaskazini mwaka 1994.

Uchunguzi wa mauaji hayo unazidi kuendelea.

Ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un auawa nchini Malaysia Ndugu wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un auawa nchini Malaysia Reviewed by Bill Bright Williams on 9:52:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.