Updated Thursday, November 10, 2016

Trump: Nitafungua upya uchunguzi kuhusu shambulio la 9/11


Donald Trump ana mpango wa kwa zile siku 100 za kwanza katika ofisi kufungua tena uchunguzi dhidi ya shambulio lililotokea 9/11, uchunguzi ambao utaleta mtikisiko mkubwa kwa wale aliopanga shambulio hilo.

Trump anaamini kwamba shambulio la 9/11 alijachunguzwa vizuri na amepanga kufuatilia kwa makini toka ngazi za chini kabisa. "Awali ya yote,uchunguzi wa 9/11 kwa ujumla ni wa hovyo hovyo na nitaufungua upya," Trump alisema.

Uchaguzi wa Donald Trump umewapa wakati mgumu waanzilishi na mambo yataendelea kuwa magumu zaidi katika huu muhula wake wa kwanza.Kuna sababu iliyomfanya  George W. Bush kutompigia kura Trump katika uchaguzi, na kuacha nafasi ya Uraisi utupu huku akiwapigia kura wana Republican wengine wa ngazi za chini.Hii ni kutokana na Trump kuahidi kuchunguza tena shambulio la 9/11 katika njia ambayo haijawai kuchunguzwa kabla.

Kwa mara ya kwanza 9/11 itachunguzwa na mtu ambaye si sehemu ya mpango huo.

Trump aliwaambia wafuasi wake kwamba,"uchunguzi kuhusu shambulio la 9/11 ni wa hovyo hovyo na ameahidi kufungua tena uchunguzi huo"."Ni kwa jinsi gani ndege mbili ziangushe majengo matatu katika siku moja? yaani haiingii akilini kabisa na lile jengo la tatu ambalo alikuguswa kabisa nalo kuanguka katika muundo uleule wa yale majengo mawili yalivyo anguka"

Pia Trump alisema,"World trade center zilianguka katika utawala wa George Bush"Je alichukua hatua za kiusalama na hata baada ya kujua kwamba walioteka ndege zile wengi ni kutoka Saudi Arabia? Wamarekani wanataka majibu hasa kufahamu ni kipi hapa kimejificha nyuma ya pazia, ndio maana nimeamua kuchunguza upya kuhusu hili.
Trump: Nitafungua upya uchunguzi kuhusu shambulio la 9/11 Trump: Nitafungua upya uchunguzi kuhusu shambulio la 9/11 Reviewed by Bill Bright Williams on 3:25:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.