Updated Wednesday, November 9, 2016

Putin:Ushindi wa Trump ni anguko kubwa kwa New World Order


Urusi ina matumaini mapya kuhusu kurejeshwa kwa uhusiano mpya kati ya Urusi na Marekani, hii ni kwa mujibu ya vyanzo vya habari kutoka Kremlin, Rais wa Urusi amesema amefarijika sana kwa watu wa Marekani kupiga kura na kujitambua na kukataa matarajio ya New World Order, serikali moja inayotawala dunia nzima.

Kulingana na vyanzo mbalimbali, Putin anaamini kuwa matokeo ya uchaguzi nchini Marekani yanathibitisha kwamba wale wanaotaka serikali moja ya dunia, na wenye ajenda zenye uharibifu hawana umaarufu wowote kwa watu wa kawaida, na kama wangeambiwa wachague mfumo waliokuwa wanaupendekeza, kiasi kikubwa cha watu hawapo tayari kuunga mkono.

Putin aliapa kuharibu New World Order mwaka 2016, na inaonekana watu wengi duniani wameanza kuamka na kupinga mbinu chafu za watu wachache kutaka kuitawala dunia.Putin anafuraha toka ndani ya moyo kwa watu kuanza kuamka na kuharibu hizi jamii za siri zenye lengo baya sana kwa uhai wa binadamu.

Matokeo haya ya uchaguzi yanawakilisha mapigano makubwa ya Wamarekani dhidi ya wasomi(elite) ambao alikuwa wanaiongoza nchi hiyo tangu Boston Tea Party mwaka 1771, na vibaraka wa New World Order waliopo Washington.Wote wale wanaojiita elite--wanasiasa, mabenki, wanauchumi,watu mashuhuri--waliwaambia watu wapige kura kwa mgombea aliechaguliwa kwa ajili ya kupeleka mbele ajenda za New World Order, Hillary Clinton. Ila watu wameamka na kukataa ubinafsi huo unaopendekezwa na kikundi kidogo cha watu.


Putin:Ushindi wa Trump ni anguko kubwa kwa New World Order Putin:Ushindi wa Trump ni anguko kubwa kwa New World Order Reviewed by Bill Bright Williams on 7:17:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.