Updated Thursday, October 13, 2016

Kunywa maji mara tu baada ya kuamka!!!


Wajapan wana kawaida ya kunywa maji mara tu baada ya kuamka.Wanasayansi wanasema kuwa tabia hii ni nzuri sana kwa afya, kwa sababu ukinywa maji kabla haujala kitu chochote inachochea metabolism na kuongeza ufanisi wa digestion.

Hizi ni mbinu za matibabu kwa kutumia maji:
Kila asubuhi kabla haujapiga mswaki, kunywa mara 4 maji yenye ujazo wa 160ml.

Baada ya hapo piga mswaki, ila usile kitu chochote ndani ya masaa mawili. Baada ya masaa mawili kupita, pata kifungua kinywa na baada ya hapo subiri tena masaa mawili ndio unywe kimiminika chochote.

Kama utashindwa kuanza dozi hii kwa kunywa maji glasi 4, basi unaweza kuanza na mbili na baadae  unaongeza dozi.

Njia hii itasaidia kutibu magonjwa mengi mno na itakuza mfumo wako wa kinga.
Anza leo tabia hii, ina manufaa makubwa kwa afya yako

Ni siku ngapi hii dozi inatosha kutibu tatizo ulilonalo:

siku 30 kwa Shinikizo la damu

siku 10 kwa Gastritis

siku 30 kwa Kisukari

siku 10 kwa Constipation

siku 90 kwa kifua kikuu

Kumbuka: Njia hii haina madhara yeyote, na kila mtu anaweza kuitumia.Ni moja ya matibabu bora ya afya na inapendekezwa kwa kila ugonjwa na kila ugonjwa.

Kunywa maji mara tu baada ya kuamka!!! Kunywa maji mara tu baada ya kuamka!!! Reviewed by Bill Bright Williams on 12:51:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.