Updated Wednesday, October 12, 2016

Hillary Clinton anajua Saudis wanawafadhili ISIS


Mgombea urais kupitia chama cha Democratic, Hillary Clinton alituma email mnamo tarehe 17/08/2014 kwa podesta.Ilikuwa ni mpango kabambe wa kuwawezesha ISIS kushinda katika Iraq na Syria. 
Email yake ilikuwa inasema kwamba, Marekani inapaswa kusaidia vikosi vya kikurdi kwa kutumia washauri wa kijeshi kutoka Marekani, na kujiepusha na matumizi ya kawaida kwa operesheni ya ardhi. 
"Wakati operesheni za jeshi zinasonga mbele, inatupasa kutumia njia za kidiplomasia na ubunifu zaidi ili kuleta shinikizo kwa serikali ya Qatar na Saudi Arabia, ambazo kwa siri zinatoa msaada wa kifedha na vifaa kwa ISIL na vikundi vingine vya Sunni vyenye msimamo mkali katika ukanda mzima,"Clinton aliandika.

Kadhalika mnamo siku hiyo ya tarehe 17/08/2014, Hillary aliandika ya kwamba anajua Saudi Arabia ni nchi inayowafadhili ISIS, na alisema inatupasa kuwashinikiza hao. Mwezi mwingine uliofuata, Bill alikutana na wasaudia, na baada ya wiki mbili, Podesta Group, Group ambalo linashikamana na Clintons waliombwa kuwakilisha Saudis.

Hii ni ya kushangaza!!!!

Kumbuka ya kwamba tarehe 17/08 email ilikuwa imetumwa kwa John Podesta,Meneja wa kampeni za Hillary, na kaka wa Podesta Group, mwenyekiti Tony Podesta. Hivyo basi, Hillary email John kuhusu kujua kwake kwamba saudis inawadhamini Isis, baada ya majuma kupita Bill akafanya ziara Saudis, na tena baada ya majuma kupita Saudis waliwaajiri mameneja wa kampeni za Hillary, kusaidia kukubalika katika umma. Sasa unaweza tafakari kwamba hili podesta group linatakiwa kufanya nini na saudis?

Hii ni ajabu. Ni ushahidi kwamba si tu kwamba Hillary anajua kwamba Saudis wanafadhili ISIS, lakini yeye alimtuma Bill kukutana nao, na kisha kutumwa kampuni kushikamana na yake na kusaidia kuficha  uhalifu wa Saudis.

Kwa kubadilishana, Saudi Arabia ilitoa zaidi ya dolla 25 million kwa foundation ya clinton, na Clinton hajarudisha tena hiyo ela, na iliwalipa podesta firm na Bill kiasi kikubwa sana cha fedha.
Hii inastahajabisha sana, kwamba Hilary Clinton alichukua fedha na kuficha uharifu wa Saudis, huku akifahamu fika kwamba inawasaidia ISIS!


Hillary Clinton anajua Saudis wanawafadhili ISIS Hillary Clinton anajua Saudis wanawafadhili ISIS Reviewed by Bill Bright Williams on 3:36:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.