Updated Tuesday, October 11, 2016

Ajenda hii imeanza kufanya kazi sasa


Kuna ajenda ilianzia Marekani na sasa imeanza kuenea duniani kote, kuna vita vya siri vinaendelea, vikilenga wazee, wenye umri wa kati na vijana watu wazima. Operesheni hii inayotumiwa na adui ni kwa ajili ya kulenga mtu mmoja mmoja, kumchanganya, kumtenga na kutumia njia yeyote ile ya teknolojia kuondoa maisha yake.
Unaweza kuishi wakati huu ambapo technolojia nyingi na uwezo mkubwa umeshikiliwa na wale wasio na utu wa binadamu?

Ni vyema kuwafahamisha teknolojia hizi ambazo zinatumika katika vita hivi vya siri, moja inajulikana kama voice to skull technology, ni kwamba hawa watu wana uwezo wa kuingiza sauti katika kichwa, na kukusababishia kuwa na dalili za dhiki na kuchanganyikiwa.

Njia ya pili wanayoitumia ni  Microwave Radiation Technology, technolojia hii inatumia masafa(frequency) ambazo dhamira yake kuu ni kuharibu seli katika mwili,ingawa kuanzishwa kwa hii technolojia ilikuwa ni kwa ajili ya kutibu magonjwa kama vile kansa, pia zina uwezo kamili wa kukusababishia kansa vilevile.


Technolojia sio njia pekee ambayo inatumika na hawa watu, ifahamike hawa watu pia wanafanya kazi na malaika waovu, wana uwezo mkubwa wa kumwita pepo na hata pia kutumia uchawi kushambulia mtu, ila kama upo imara kwenye imani yako, njia hii haitakupa shida.

Mambo yote haya yanatokea hili waweze kupunguza idadi kubwa ya watu waliopo duniani, kwa sasa dunia ina watu zaidi ya bilioni sita, lengo lao kuu ni kupunguza asilimia 99% ya watu duniani kote, mapendekezo yao na idadi ya watu wanaopendekeza kubakia duniani ni si zaidi ya watu milioni mia tano, nimeongelea kuhusu technolojia, ila pia watu hawa wanaweza kutumia flouride kwenye maji kwa ajili ya kudhuru watu, madawa kwa maana makampuni makubwa ya madawa yanamilikiwa na watu hawa, na hata pia chanjo za watoto.
Ajenda hii imeanza kufanya kazi sasa Ajenda hii imeanza kufanya kazi sasa Reviewed by Bill Bright Williams on 3:57:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.