Updated Monday, August 1, 2016

Watu zaidi ya 8 wafariki katika shambulizi la Bomu Mogadishu


Takriban watu 8 wameripotiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi la bomu katika jengo la idara ya upelelezi nchini Somalia.

Shambulizi hilo linasemekana kuwa la kujitoa mhanga ambapo gari lililokuwa limetegwa na vilipuzi lilipuka mlangoni mwa jengo hilo jijini Mogadishu.

Muda mfupi baada ya Bomu hill,magaidi waliendeleza shambulizi hilo kwa kuwafyatulia risasi walinzi wa eneo hilo na kupelekea kadhaa kujeruhiwa vibaya.

Kwa sasa vikosi vya usalama vimedai shambulizi hilo kutekelezwa na wanamgambo wa Al shabaab8 wafariki katika shambulizi la Bomu Mogadishu

Watu zaidi ya 8 wafariki katika shambulizi la Bomu Mogadishu Watu zaidi ya 8 wafariki katika shambulizi la Bomu Mogadishu Reviewed by Bill Bright Williams on 3:17:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.