Updated Saturday, August 20, 2016

Sadaka ya binadamu? Maafisa waanza uchunguzi baada ya video ya ibada kuibuka


Maafisa kutoka CERN, shirika kubwa linalojihusisha na mambo ya fizikia za maabara duniani, wameanza uchunguzi kwa wale wote waliohusika katika video ya ibada iliyohusishwa utoaji wa sadaka ya binadamu katika ibada hiyo.

Video hiyo ilipigwa usiku katika sanamu la shiva (shiva statue) katika majengo ya shirika la Ulaya kwa ajili ya Utafiti  wa nyuklia
(CERN) katika campus ya Geneva, ilionyesha watu wakiwa wamevaa mavazi meusi yaliyofunika nyuso zao huku mwanamke aliesadikiwa kutolewa kafara alivikwa mavazi meupe, alichomwa na kitu kama chuma tumboni ikisadikiwa kwamba kilikuwa kisu.
Msemaji wa CERN alisema, scenes hizi za hii video zilipigwa katika majengo yetu bila ruhusa rasmi.

Bonyeza hapo chini kuangalia video ya tukio zima


Video hii ilipigwa katika eneo lenye ulinzi mkali na mpigaji wa video hii inaonyesha aliliona tukio kwa bahati mbaya.Hata hivyo, wakati fulani inaonyesha shahidi aliye-shoot video hiyo alivaa mavazi yaliyofanana na waliokuwa wanafanya ibada.

Hii ni kutokana na reflection juu ya dirisha.

Sadaka ya binadamu? Maafisa waanza uchunguzi baada ya video ya ibada kuibuka Sadaka ya binadamu? Maafisa waanza uchunguzi baada ya video ya ibada kuibuka Reviewed by Bill Bright Williams on 4:40:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.