Updated Sunday, August 7, 2016

Nyoka alietoa fedha kwenye ATM


Nyoka mmoja nchini Zimbabwe ameweza kuchukua fedha kwenye ATM ya Barclays.

Hii imetokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Harare, na baada ya kumaliza kitendo cha kuchukua fedha kwenye ATM, nyoka huyo alijikongoja kidogo kidogo na kuingia ndani ya gari lililokuwa limepaki karibu na ATM hiyo.

Vyombo vingi vya kijamii na umati mkubwa wa watu ulikuwa umejaa katika eneo hilo huku wakiwa wanapiga picha za tukio
hilo.

Mmiliki wa gari hilo alilopanda hilo joka alikimbia na kuondoka katika macho ya watazamaji.
Nyoka alietoa fedha kwenye ATM Nyoka alietoa fedha kwenye ATM Reviewed by Bill Bright Williams on 5:39:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.