Updated Tuesday, August 2, 2016

Madaktari wa meno kamwe hawajatuambia hili kwamba dawa hii ya meno inaweza kusababisha saratani


Watu wengi wemesikia kuhusu fluoride katika dawa za meno zilizopo kwenye mzunguko wa kibiashara, lakini utafiti wa hivi karibuni umebaini kwamba kuna ladha ya kemikali nyingine ndani yake.

Amini, usiamini, kemikali hii inaweza kuwa hatari zaidi kuliko hata fluoride kwa sababu moja maalum: imekuwa inahusishwa na kansa:

Kemikali hii inapatikana katika brand moja kubwa na inajulikana kwa jina la triclosan. Colgate ni kampuni pekee la dawa za meno inalotumia kemikali hii ya triclosan, ni aina ya dawa inayotumika sana na watu wengi, na imesababisha wengi kuwa kwenye hatari katika afya zao. 

Kemikali hii imeongezwa kwenye dawa za meno eti kwa ajili ya kupunguza hatari ya maambukizi ya bakteria, hata hivyo tafiti zilizofanywa zimegundua kwamba  matatizo ya hii kemikali ni makubwa katika afya zetu kuliko faida tunazoeza kuzipata.

Tafiti kadhaa zilizofanywa kwa wanyama kwa kutumia kemikali hii, ziligundua kwamba ina athiri kwa kiasi kikubwa uwiano wa homoni kwa wanyama. Hii ina maana kwamba ina athari kwenye homoni za kiume na kike kama vile Testosterone na estrogen na pia mfumo wa tezi.

Kuvurugika kwa uwiano wa homoni fulani, hasa estrogen,imekuwa ikihusishwa na magonjwa mbalimbali, hasa saratani ya matiti. Hii ni kwa sababu saratani ya matiti kwa ujumla inapokelewa kwa estrogen, ina maana ya kwamba kuwa na wingi wa estrogen inaweza kusababisha saratani kukua.Mbali na kuwa inahusishwa na kansa, triclosan’s antimicrobial zimesababisha wataalamu kuwa na wasiwasi juu ya uwezekano wa uwepo wa bacteria sugu wa hii kemikali, na wenye uwezo wa kuenea bila dawa yeyote kuweza kuwazuiaMadaktari wa meno kamwe hawajatuambia hili kwamba dawa hii ya meno inaweza kusababisha saratani Madaktari wa meno kamwe hawajatuambia hili kwamba dawa hii ya meno inaweza kusababisha saratani Reviewed by Bill Bright Williams on 4:17:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.