Updated Friday, July 15, 2016

Watu zaidi ya 84 wauawa katika shambulio la kigaidi wakati wa maadhimisho ya siku ya Bastille nchini Ufaransa


Gaidi aliekuwa na silaha aliuwa watu zaidi ya 84 na kujeruhi wengine wakati alipokuwa anaendesha lori (heavy truck) katika mwendo kasi katika umati wa watu waliokuwa wanaangalia Bastille Day fireworks katika mji wa Riviera jiji la Nice siku ya Alhamisi.

Dereva wa lori hilo alipigwa risasi na polisi kwa kufanya kitendo hicho cha kigaidi.
Lori hilo lilikuwa katika mwendo usio wa kawaidi na kuwagonga raia ambao walikuwa katika tamasha hilo mjini Nice majira ya usiku wa Alhamis.Taarifa hiyo ilitolewa na uongozi wa Alpes Maritimes.

Uongozi katika mji wa Nice umewataka raia kusalia katika majumba yao na kutangaza kuwa  watu zaidi ya 84 wamefariki katika tukio hilo.Watu zaidi ya 84 wauawa katika shambulio la kigaidi wakati wa maadhimisho ya siku ya Bastille nchini Ufaransa Watu zaidi ya 84 wauawa katika shambulio la kigaidi wakati wa maadhimisho ya siku ya Bastille nchini Ufaransa Reviewed by Bill Bright Williams on 2:03:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.