Updated Friday, July 15, 2016

Spencer Horsman apata tatizo baada ya kujaribu kukaa mda mrefu ndani ya maji


Mkazi wa Las Vegas kwa jina Spencer Horsman, ambaye mwenyewe anajihita "Mchawi Mbishi na Msanii wa kuepukwa,"aliingia ndani ya plexiglas tank lenye nchi 30 likiwa limejazwa galoni 100 za maji. 
Shindano hilo lilihusisha kufungua makufuli yote yaliyofungwa huku ukiwa ndani ya maji, dosari ilitokea katika show ya Criss Angel siku ya jumanne na kufanya Spencer Horsman  kukimbizwa hospitali baada ya kukaa kwenye maji kwa mda mrefu.

Spencer Horsman apata tatizo baada ya kujaribu kukaa mda mrefu ndani ya maji Spencer Horsman apata tatizo baada ya kujaribu kukaa mda mrefu ndani ya maji Reviewed by Bill Bright Williams on 7:36:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.