Updated Thursday, July 28, 2016

Robot zitatumika kama wafanyakazi wa huduma za biashara ifikapo mwaka 2035


Robo ya ajira katika sekta ya huduma ya biashara nchini Uingereza itachukuliwa na robot katika miaka 20 ijayo, kwa sababu ya kupungua kwa gharama za teknolojia na kupanda kwa mishahara, madai mapya yanasema.

Kwa mujibu wa Deloitte, kuna uwezekano mkubwa kwamba watoa huduma za biashara, ikihusisha, wafanyakazi wa masiliano ya simu na IT, kazi hizi hazitafanywa tena na binadamu ifikapo mwaka 2035.

Washirika wa karibu wa Deloitte, Simon Barnes wanasema kuwa nguvu kubwa itatumika katika 
sekta ya mabadiliko ya Kimsingi kwa miaka 10 hadi 20 ijayo.
Robot zitatumika kama wafanyakazi wa huduma za biashara ifikapo mwaka 2035 Robot zitatumika kama wafanyakazi wa huduma za biashara ifikapo mwaka 2035 Reviewed by Bill Bright Williams on 2:33:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.