Updated Sunday, July 31, 2016

Rais wa Sudan aapa kuikomboa Afrika kutoka ukoloni mamboleo


Rais wa Sudan Omar al-Bashir ameapa kuharibu taasisi zisizotetea haki na kukomboa Afrika kutoka kwa ukoloni mamboleo, uwe wa kisiasa au kiuchumi.

Al-Bashir alisema hayo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa ndege wa Khartoum alipowasili kutoka Addis Ababa, Ethiopia. Alisema nchi za magharibi hazijui kuwa yeye anawakilisha watu wa Sudan na kwamba raia ni muhimu kuliko wadhalimu .

Mnamo Machi 2009, Mahakama ya Kimataifa ICC ilitoa kibali cha kukamatwa kwa al-Bashir kwa madai ya uhalifu wa kivita katika jimbo la Darfur nchini Sudan.

Hata hivyo, Sudan imepinga kibali hicho, ikisema haikusaini Mkataba wa Roma
Rais wa Sudan aapa kuikomboa Afrika kutoka ukoloni mamboleo Rais wa Sudan aapa kuikomboa Afrika kutoka ukoloni mamboleo Reviewed by Bill Bright Williams on 12:53:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.