Updated Wednesday, July 20, 2016

New Delhi yapiga marufuku magari yanayotumia diseli


Mahakama moja nchini India imetoa agizo la kupiga marufuku magari yanayotumia diseli ambayo yametumika kwa zaidi ya miaka 10 katika jiji kuu la nchi hiyo New Delhi. Hatua hiyo huenda ikaathiri mauzo ya magari toka nchi za nje nchini India.

Agizo hilo lilitolewa juzi Jumatatu baada ya raia kuwasilisha kesi mahakamani wakitaka hatua kuchukuliwa kupunguza athari zitokanazo na hewa chafuzi.
New Delhi yapiga marufuku magari yanayotumia diseli New Delhi yapiga marufuku magari yanayotumia diseli Reviewed by Bill Bright Williams on 3:14:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.