Updated Wednesday, July 6, 2016

Mwanamke wa Kipalestina apigwa risasi na askari wa Israel ,angalia video yake hapa


Katika video hii inaonyesha askari wawili wa Israel wakimpiga risasi mshambulizi wa kipalestina wakati akijaribu kuwatishia kisu huku akitaka kuwachoma, katika kituo cha kusubiria mabasi cha West Bank.
Tukio hilo linasemekana lilitokea katika barabara ya Gitai karibu na Ariel, katika makazi ya Israel na katikati ya jiji la West Bank, imeripotiwa na Times of Israel.
Dushcam video ilirekodi kutoka kwenye moja ya magari yaliyokuwa yakitumia hiyo barabara na ilitolewa kwenye Youtube siku ya jumanne jioni.Katika video hiyo inaonyesha mwanamke akiwa ameshika kisu huku akiwafuata askari wawili wa Israel, na askari hao walikuwa wamesimama katika kituo cha basi. Kisu kinaonekana vizuri kabisa katika mkono wake.

Mwanamke wa Kipalestina apigwa risasi na askari wa Israel ,angalia video yake hapa Mwanamke wa Kipalestina apigwa risasi na askari wa Israel ,angalia video yake hapa Reviewed by Bill Bright Williams on 11:15:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.