Updated Sunday, June 5, 2016

Ugonjwa a ajabu waibuka nchini Syria na Mashariki ya Kati


Ugonjwa ulao ukijulikana kwa jina la Leishmaniasis, ambao ulianzia nchini Syria, sasa wazidi kuenea mashariki ya kati,kwa mamilioni ya watu kukimbia kutoka majimbo yenye vita.

Baadhi ya ripoti zinasema ugonjwa huu unaenezwa na vimelea vinavyokula maiti zilizotupwa katika mitaa ya ISIS,
Ingawa madai haya yalikanushwa na wanasayansi kutoka shule ya Tropical Medicines.
Hakuna tiba ya haraka inayopatikana kwa kutibu ugonjwa huu, na mfumo wa afya wa Syria ni kama haupo kwa vitendo.
Mengi ya makazi ya mda ya wakimbizi yanaongeza hatari ya kuongeza maambukizi kutokana na utapiamlo,malazi mabaya,upungufu wa vituo vya afya na msongamano.Wataalamu wanasema miili iliyooza katika mitaa inachangia ongezeko la ugonjwa huo.Karibu miezi 16 iliyopita,
karibu ya watu 500 waliathirika na ugonjwa huo, na idadi inazidi kuongezeka siku hadi siku.

Ugonjwa a ajabu waibuka nchini Syria na Mashariki ya Kati Ugonjwa a ajabu waibuka nchini Syria na Mashariki ya Kati Reviewed by Bill Bright Williams on 10:28:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.