Updated Saturday, June 25, 2016

Shambulio la hatari latokea hotelini nchini Somalia


MOGADISHU, Somalia -- Watu zaidi ta 14 wameuawa wakati kundi la wanamgambo walipovamia hoteli katika mji mkuu wa 
Somalia na kuchukua idadi kubwa ya wageni kama mateka waliokuwapo katika hoteli hiyo, polisi na wafanyakazi za
matibabu walisema siku ya jumamosi,kabla ya vikosi vya usalama kuwashambulia ambapo mapigano yalidumu zaidi ya lisaa
ambapo mwanzo kabla ya mapigano kulisikika mlipuko mkubwa wa bomu kutoka kwenye gari lililogonga mlango wa hoteli.

Kundi la al-Shabab linadai kuhusika na shambulio hilo
Captain wa polisi, Mohamed Hussein alisema vikosi vya usalama vimeua washambuliaji wawili.Polisi na wafanyakazi za 
matibabu walisema watu wengine tisa walijeruhiwa katika shambulio hilo.
Shambulio la hatari latokea hotelini nchini Somalia Shambulio la hatari latokea hotelini nchini Somalia Reviewed by Bill Bright Williams on 9:57:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.