Updated Saturday, June 25, 2016

Saudi Arabia inafadhili 20% kwa kampeni ya mgombea Urais Hillary Clinton


Imamu wa Marekani Warith Deen Mohammed alisema mwaka 1999:“ Saudi Arabia ni shule ya wenye mawazo ya wahabi...na wanasema, sisi tutakupa fedha zetu, na tutataka kingine kutoka kwako...kutokana na mafundisho ya shule zao.
Ingawa yanasemwa hayo au la.Kuna tatizo kama unapewa fedha bila kuambiwa au kupewa zawadi kama nchi bila masharti yeyote.

Hillary Clinton amesema,"Waislamu ni watu wa amani na uvumilivu na hawahusiki na  chochote na ugaidi."

“Clinton Foundation… wameweka wazi kwamba wamekubali dola za kimarekani million 25 kutoka Falme ya Saudi. Serikali nyingine za nchi za nje zilizomchangia Clinton ni pamoja na … Kuwait, Qatar, Brunei, Oman…”

Hillary Clinton amenunuliwa na analipwa......
Saudi Arabia imelipa zaidi ya asilimia 20 za gharama za kampeni za uchaguzi wa urais Marekani, Naibu wa Prince Mohammed bin Salman amenukuliwa akisema katika shirika la habari la Jordan la Petra News.
Kwa mujibu a tovuti kutoka mashariki ya kati ya Eye news, ripoti hiyo imeshafutwa kutoka tovuti ya shirika hilo.Hata hivyo, toleo la kiarabu limeshachapishwa na taasisi yenye makao yake Washington.

Kwa ukumbusho, Ni kinyume cha sheria kwa nchi ya Marekani kupokea ushawishi au kufadhiliwa kwa wagombea,kutoka nchi za nje.Hata hivyo sheria hiyo inagonga mwamba kwa nchi ya Saudi Arabia ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa kwa kampeni za wagombea Urais nchini ya Marekani.

Saudi Arabia inafadhili 20% kwa kampeni ya mgombea Urais Hillary Clinton Saudi Arabia inafadhili 20% kwa kampeni ya  mgombea Urais Hillary Clinton Reviewed by Bill Bright Williams on 9:10:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.