Updated Monday, June 6, 2016

Sababu 5 kwanini ISIS ni uvamizi kutoka nchi za Magharibi


ISIS, ISIL, IS, au Daesh wameanzishwa kwa makusudi na engineer wa Marekani na Israel kwa ajili ya kufikia
malengo fulani ya kijiografia na kisiasa kwa wasomi(elite).
Lengo kuu la hiki kikundi cha kigaidi ni kuendeleza ajenda ya Kizayuni ili kujenga machafuko Mashariki ya Kati, na vyombo vya usalama kama CIA na Mossad kwa siri vinasaidia nyuma ya pazia kufanikisha hii ajenda.

Unataka ushahidi?
Hapa chini kuna orodha ya sababu 5 ili kutoa ushahidi kwamba ISIS ni uvamizi kutoka nchi za Magharibi kama ilivyoripotiwa na Freedom Articles:

1.ISIS limetokana na Mossad
Hebu tuwe dhahiri. Jina ISIS ni kifupi, si tu Islamic state in Iraq and Syria, lakini pia linatumika kwa Israel Secret Intelligence Service! Hii ni njia nyingine ya kuelezea Mossad, kivuli cha kizayuni kinachohusika kupeleleza ambacho kauli mbiu yake ni, "kwa njia za udanganyifu, nawe utafanya vita"

2.Kiongozi wa ISIS Baghdadi ni wakala wa Mossad
Ingawa ni vigumu kuthibitisha, ila kuna ripoti iliyotolewa na Edward Snowden kwamba kiongozi wa ISIS (Abu Bakr al-Baghdadi) alikuwa wakala wa Israel Mossad akitumia jina la Simon Elliot au Elliot Shimoni;
“Simon Elliot (Elliot Shimon) aka Al-Baghdadi alizaliwa na wazazi wote wenye asili ya kiyahudi na ni Wakala wa Mossad.
Jina kamili la Abu Bakr al-Baghdadi ni “Simon Elliott.” alipata mafunzo ya upelelezi na vita vya kisaikolojia dhidi ya jamii ya kiarabu na kiislam.Habari hii ilitolewa na Edward Snowden.

3.Urusi inawalipua ISIS, Marekani inawalinda ISIS
Kabla ya Urusi kuingia kijeshi nchini Syria, Marekani ilikuwa inadai inawashambulia ISIS,ingawa Urusi iliweza kwa miezi michache ila Marekani ilishindwa kwa miaka. Kwanini? Je jeshi la Marekani halina uwezo, au ni uthibitisho zaidi kwamba Marekani inawafadhili na kuwasaidia ISIS kwa mda wote huo? Pia kuna ripoti kwamba Wanajeshi wa Marekani walipewa maagizo wasiwalenge wapiganaji wa ISIS.

4.ISIS Kamwe hawajawai shambulia Israel
Ni jambo la ajabu kwamba ISIS kamwe hawajawai shambulia Israel-hii ni dalili nyingine kwamba ISIS wanadhibitiwa na Israel.
Kama kweli ISIS wapo huru katika haya mapigano na hawafungamani na upande wowote, kwanini hawajathubutu kushambulia utawala wa Israel, ambao unachukiwa na unashambuliwa karibia na majirani wote wa kiislamu tangu kuanzishwa kwake mwaka 1948?

5.Magari ya Toyota
ISIS wameyatoa wapi magari mengi ya Toyota? Kwanini picha zao nyingi wamepiga na magari aina ya Toyota, yaliyofanana model na rangi?
Maelezo mazuri ni kwamba ISIS wameyaiba magari haya kutoka kwa “Good Terrorists” (Al Nusra), ambao walipewa magari haya kutoka serikali ya Marekani.Ambapo inatufanya tuanze kuhoji maswali, kwanini Marekani iliwapa hawa magaidi haya magari?


Sababu 5 kwanini ISIS ni uvamizi kutoka nchi za Magharibi Sababu 5 kwanini ISIS ni uvamizi kutoka nchi za Magharibi Reviewed by Bill Bright Williams on 1:47:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.