Updated Sunday, June 26, 2016

Nchi zenye viwango vikubwa vya chanjo zina idadi kubwa ya vifo vya watoto wachanga


Nchi zenye idadi kubwa ya chanjo kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja pia zina idadi kubwa ya vifo vya watoto, kulingana na utafiti uliofanywa na Think Twice Global Vaccine Institute. 
Utafiti huo ulichapishwa katika jarida la Human & Experimental Toxicology, na umeibua maswali muhimu-- je baadhi ya chanjo kwa watoto wachanga zina uhusiano na vifo vyao?

Kwa nchi kama Marekani ina ratiba ya kuchanja chanjo 26 tofauti kwa watoto wenye umri usiozidi mwaka mmoja, na bado nchi hiyo inashika nafasi ya 34 kwa vifo vya watoto.
Watafiti walikusanya tafiti za vifo vya watoto wachanga kwa nchi 34 tofauti. Kati ya hizo nchi 34, nchi nne- Andorra, Liechtenstein, Monaco and San Marino – zina viwango vidogo zaidi ya vifo vya watoto, kwa hiyo nchi hizo zikatolewa katika uchambuzi.

Kwa nchi 30 zilizobakia, viwango vya juu vya chanjo za watoto wachanga vinahusishwa na ongezeko la vifo vya watoto-- inaenda tofauti na hoja kwamba chanjo kwa watoto wachanga zinaboresha afya kwa ujumla kwa watoto hao.
Ukweli ni kwamba, idadi kubwa ya chanjo inayopendekezwa kwa watoto chini ya mwaka mmoja hazina uwezo wa kuzuia magonjwa ya hatari katika kundi hilo.
Nchi hizi tena ziligawanywa katika makundi matano, kulingana na wingi wa chanjo zinazotolewa kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja:12–14 doses, 15–17 doses, 18–20 doses, 21–23 doses and 24–26 doses. Watafiti wamegundua kundi lenye dozi 12-14 wana unafuu kidogo kuliko kundi lenye dozi  21–23 or 24–26 

Nini sababu ya vifo hivi?
Watafiti wamebaini mambo mengi yanayochangia vifo hivi vya watoto wachanga, kwa nchi maskini zina wingi wa vifo vya watoto wachanga kutokana na miundombinu na huduma za afya kuwa mbovu, ikiwa ni pamoja uchafu wa mazingira. 
Magonjwa ya kuambukiza yapo kwa asilimia kubwa katika hizi nchi, kutokana na huduma mbaya za afya na lishe duni kwa watoto.

Kwa nchi tajiri , hata hivyo idadi kubwa ya vifo kwa watoto sababu hasa haijajulikana, ukiangalia miundombinu na huduma za afya zipo vizuri.

Nchi zenye viwango vikubwa vya chanjo zina idadi kubwa ya vifo vya watoto wachanga Nchi zenye viwango vikubwa vya chanjo zina idadi kubwa ya vifo vya watoto wachanga Reviewed by Bill Bright Williams on 12:38:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.