Updated Tuesday, June 7, 2016

Nani ni mmiliki wa virusi vya Zika?


Mara ya kwanza kuchapishwa kwa makala ya Guillaume Kress ilikuwa ni Februari 2016, ikielezea umuhimu na mahusiano katika matukio yanayotokea nchini Brazil.
Shirika la Afya Duniani (WHO) walitangaza hali ya dharura kimataifa kutokana na virusi vya Zika Februari 1,2016 bila hata ya kutoa maelezo zaidi juu ya ugonjwa huo.

Hivyo basi huu ni baadhi ya ukweli tulionao kuhusu hivi virusi vya Zika:
Virusi hivi vinavyoweza kuenezwa kwa zinaa vilikuwepo takribani miaka 69 iliyopita na vinauzwa na makampuni mawili:
LGC Standards (makao yake makuu nchini Uingereza) na ATCC (makao yake makuu yapo Marekani).
LGC Group ni:
“…Ni taasisi teule nchini Uingereza inayojihusisha na vipimo vya kemikali na vipimo vya bioanalytical na ni kiongozi mkuu katika
huduma za maabara, upimaji wa viwango,reference materials, genomics na mstadi mzuri wa kupima bidhaa zilizopo sokoni.”
Moja ya matawi yake, LGC standard,ni:
“… Kiongozi wa kimataifa kwa utayarishaji na usambazaji wa vifaa vya kumbukumbu na vipimo vya ustadi.
 Makao yake makuu yapo Teddington, Middlesex, Uingereza, LGC Standards ina mtandao mkubwa na ofisi za mauzo zaidi ya 20 na uzoefu wa miaka 30 katika usambazaji wa reference materials.Hizi bidhaa na huduma zenye ubora ni muhimu kwa uchambuzi sahihi wa kudhibiti vipimo vyenye ubora, kuhakikisha maamuzi mazuri na kufanywa kwa kuzingatia data za kuaminika. 

LGC Standards  iliingia ubia na ATCC:
“…Waziri wa kimataifa wa rasilimali za kibiolojia na shirika la viwango ambalo lengo lao linalenga katika upatikanaji,
kujitambulisha, uzalishaji, utunzaji, maendeleo, na usambazaji wa viwango vya kumbukumbu vya microorganisms,cell lines na vifaa vingine.
Wakati wakidumisha ukusanyaji wa vifaa vya jadi, ATCC wanatengeneza bidhaa bora,zenye viwango na huduma za msaada kwa utafiti wa kisayansi na mafanikio katika uboreshwaji wa afya kwa wakazi wote duniani”.

Ushirikiano kati ya  “ATCC-LGC” umeundwa ili kuwezesha:

"... Usambazaji wa kitamaduni wa ATCC na Bioproducts na utafiti wa kisayansi katika Ulaya, Afrika, na India na [...] kufanya upatikanaji wa rasilimali muhimu kwa ATCC zenye urahisi wa kutumika Ulaya, Afrika, na India kwa jamii ya kisayansi kupitia
hisa zaidi ya 5000.

Na ni nani ambaye anamiliki virusi vya Zika? Rockefeller Foundation!
Kwa nini suala la umiliki patent ya  virusi vya Zika si kitu vyombo vya habari?

Hebu tujikumbushe hotuba ya David Rockerfeller aliyoitoa katika Trilateral Commission katika mkutano mwaka 1991:

"Tunashukuru kwa Washington Post, New York Times, Time Magazine na machapisho mengine ambayo wakurugenzi wake wamehudhuria mikutano yetu na kuheshimiwa kwa ahadi zao za busara kwa karibu miaka 40 . ... Ingekuwa haiwezekani kwa sisi kuendeleza mpango wetu kwa dunia kama sisi tungejitenga na mwanga wa taa ya utangazaji katika miaka hiyo.Lakini, dunia imekuwa kisasa zaidi kwa ajili ya matayarisho ya serikali ya dunia.

The supernational sovereignty of an intellectual elite and world bankers is surely preferable to the national auto-determination practiced in past centuries.” 

Je mmiliki wa virusi vya Zika ni Rockerfeller Foundation ikiwa ni sehemu ya ajenda ya  “supernational sovereignty [dominated] kwa 
wasomi wenye akili na mabenki ya dunia ..."?

Cha muhimu kujua, Virusi vya Zika ni moja ya bidhaa inayoweza kununuliwa kwenye mtandao kutoka ATCC-LGC kwa Euro 599,
na ushirika mkubwa ukitoka Rockefeller Foundation.


Nani ni mmiliki wa virusi vya Zika? Nani ni mmiliki wa virusi vya Zika? Reviewed by Bill Bright Williams on 11:42:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.