Updated Sunday, June 26, 2016

Mwili wako ni Tindikali(acid) Hizi ni njia za kufanya(Ukweli kuhusu saratani ambao haujawai kuhusikia kwa Madaktari)


Dr. Otto H Warburg, kutoka nchi ya Ujerumani, alipokea tuzo ya Nobel mwaka 1913 kwa ajili ya kutafuta sababu halisi ya kansa kwa binadamu.
Kwa mujibu wa Dr.Otto, upungufu wa oxygen ni chanzo kimojawapo cha saratani na inasababisha hali ya tindikali katika mwili wa binadamu.
Pia aligundua ya kwamba, chembechembe za saratani haziwezi kuvuta hewa ya oxygen na haviwezi kuishi sehemu yenye viwango vya juu vya oxygen, kama ikipatikana hali ya alkali katika mwili wa binadamu.

"Seli za kawaida ni sharti la umuhimu kupata oxygen, ila chembechembe za saratani zinaweza kuishi bila uwepo a oxygen-- "Ukosefu wa 35% ya oxygen kwenye seli kwa mda wa masaa 48, inaweza kukusababishia saratani."

Usawa wa pH kati ya acid na alkaline katika majimaji yote ndani na seli mwilini, na mwili sharti uweke uwiano sawa wa alkaline ya 7.365 ili kuweza kuishi.Uwiano huu unategemea sana mlo wetu na ukweli ni kwamba, vyakula vingi vya nafaka na vya kusindika vina wingi wa acid pH. Wingi wa acid pH inaweza kusababisha matatizo makuba ya kiafya, ikiwa ni pamoja na kupata kisukari,Ugonjwa wa moyo na Kansa.
Robert O. Young, amesema masuala mengi kuhusu afya yanatokana na tindikali,kama vimelea,virusi,bacteria wabaya,na
Candida wanaishi vyema kwenye mazingira yenye asidi. Kwa upande mwingine, mazingira ya alkali yanapunguza bacteria na 
kuweka mwili wako katika ufanyaji kazi mzuri.

HILI NI SULUHISHO LA TINDIKALI MWILINI

viungo:

--Vikombe viwili vya maji ya limao au organic apple cider vinegar
-- 1/3 tsp. baking soda


maelekezo:
Changanya viungo hivyo viwili kwa pamoja na mara utakapokuwa unachanganya utaona mchanganyiko huo una fizz.Endelea kuongeza banking soda 
mpaka uone hile hali kama ya kutoa mabovu inaisha, baada ya hapo ongeza 8 oz ya maji.
Kunywa mchanganyiko huo wote kwa mara moja! Mchanganyiko huu utakusaidia kupunguza asidi tumboni na kujenga mazingira
ya alkali katika mwili.

Mwili wako ni Tindikali(acid) Hizi ni njia za kufanya(Ukweli kuhusu saratani ambao haujawai kuhusikia kwa Madaktari) Mwili wako ni Tindikali(acid) Hizi ni njia za kufanya(Ukweli kuhusu saratani ambao haujawai kuhusikia kwa Madaktari) Reviewed by Bill Bright Williams on 4:07:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.