Updated Saturday, June 25, 2016

ISIS wamemuua kijana wa miaka 15 wa Iraq kwa sababu ya kusikiliza muziki wa pop...


Kijana, Ayham Hussein,  aligunduliwa na kundi la ISIS akisikiliza nyimbo za pop kwa kutumia portable compact disc player.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya wakurdi, kundi hili wanaojiita wanajihadi limeshaua mamia ya watu kutoka nchini Iraq na Syria, na hivi karibuni limemuua mvulana wa miaka 15 kutoka Mosul kwa kosa la kusikiliza muziki wa pop kutoka nchi za Magharibi.
Ripoti za maafisa kutoka mji wa kaskazini mwa Iraq zinasema kuwa kijana huyo kwa jina  Ayham Hussein,aligunduliwa na waziri wa ISIS alipokuwa akisikiliza muziki kwa kutumia portable disc player.
Hussein aliwekwa kizuizini na ISIS na alipigwa na baadae kuuliwa. 

ISIS wamemuua kijana wa miaka 15 wa Iraq kwa sababu ya kusikiliza muziki wa pop... ISIS wamemuua kijana wa miaka 15 wa Iraq kwa sababu ya kusikiliza muziki wa pop... Reviewed by Bill Bright Williams on 10:54:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.