Updated Monday, June 27, 2016

Ijue Microchip na madhara yake kwa binadamu


Katika habari mpya kuhusu sayansi ambayo inakuwa kwa kasi na ina uwezo wa kuathiri raia wasio na hatia--na kusababisha hatari kubwa ya afya,ukiukwaji wa haki,uhuru kupotea, na upotevu wa utambulisho katika baadhi ya kesi.
Sayansi hii mpya inahusisha matumizi ya vipandikizi vya microchip ndani ya mwili wa binadamu na imeshaanza kutumika na baadhi ya watu tayari wanaijua, maamuzi haya ya watu kupandikizwa hiki kifaa ndani ya mwili yamefanywa kwa mtu kutokujua au kutokuwa na maarifa yeyote ya hiki kifaa.

Kutokana na Technolojia hii, inaingiliana na computers.
Kwa hizi micro-chip kuwekwa kwa mtu!
Mtu anaweza kuwekewa hii micro-chip kwa urahisi kwa kutumia sindano, kwa kutoboa kidogo na kuipitisha katika jeraha au kwa njia ya upasuaji.
Madhara ya  hizi microchips kwa binadamu ni pamoja na:
-Ugonjwa wa Alzheimer
-Delusional
-Aina fulani ya ugonjwa wa akili
 Kutokana na wataalamu wa huduma za afya, technolojia hii haijapata kuelezwa zaidi uwezo wake kamili na jinsi inavyofanya kazi.
Waathirika wengi wanaeleza kuteswa na technolojia hii.

Haya ndio mambo unayopasa kujua kuhusu hii technolojia.

(1) Kifaa hiki ni kidogo sana kama chembe ya mchele, kikiingia ndani ya mwili wa binadamu ni vigumu kuonekana.

(2)Mara nyingi muathirika akienda hospitali na kuomba uchunguzi wa x-ray kumwangalia kama ana hiki kifaa mwilini mwake, mara nyingi wanagundulika na matatizo ya akili kama paranoia.Hii inatokana na sababu kwamba hiki kifaa cha kupandikiza mwilini hakikubaliki....
Wataalamu wengi hawafanyi x-ray kwa waathirika na ina mlazimi mwathirika atafute njia binafsi ya uchunguzi wa x-ray.
Watu wengi wana hofu kama kweli hawa wataalamu ni watu wa kuaminika.
(3) Watu wachache waliofanya x-ray na kugundulika na hivi vipandikizi, binafsi hawajui hivyo vipandikizi waliwekewaje katika miili yao bila ya wao wenyewe kujua, na hakuna mamlaka yeyote ipo tayari kuchunguza hivi vifaa vimetokea wapi.

Kwa wale wasioamini, hiki kitendo kinaendelea kutokea duniani kote.
Kwa sasa microchips ni kwa wote wale hata binadamu
Kifaa hiki kwa binadamu ni wireless chenye kazi ya kutoa taarifa, kuhamisha data na kuona utambulisho wako au kujua popote uendapo au ulipo duniani kote.
Baadhi ya hizi microchips hazihitaji betri na zinapata nguvu kwa mawimbi ya radio ili ziweze kusoma taarifa.
Zimetofautiana ukubwa nyingine ndogo kama punje ya mchele na zina namba pekee na zinaonganishwa na teknolojia ya computer kwa habari zilizomo kwenye database.
Maandiko mengi ya wataalamu yanasema technolojia hii ina faida nyingi, hivyo wote inatupasa kufurahia kuwa na RFID microchips kwenye miili yetu--kwa ajili ya card za benki,passports, na kwa kila kitu, wanyama wa nyumbani na bidhaa tofauti kama nguo na vifaa vya grocery, vyote vinapaswa kupatikana kwa hii microchip.

Serikali ya Marekani imepanga kuwapandikiza watoto wote nchini humo hiki kifaa.
Kwanini ni vibaya kuweka kifaa hiki kwa watoto, Kifaa hiki kina circuitry na transmitter ndani ambavyo vinafanya kazi kupitia mawimbi ya radio (Kama television/radio). Pia kifaa hiki kinaweza kudukuliwa na waharifa kwa kutumia computer na kinaweza kikaingia virusi vya computer, na kibaya zaidi kifaa hiki kinasababisha saratani.
Katika utafiti wa awali wa hiki kifaa (Microchip) wanyama ndio walikuwa wa kwanza kujaribiwa.Watafiti wengi kitu hiki hawakielezi kwamba wanyama wengi waliowekewa hiki kifaa, waliishia kupata kansa.

Ijue Microchip na madhara yake kwa binadamu Ijue Microchip na madhara yake kwa binadamu Reviewed by Bill Bright Williams on 5:17:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.