Updated Monday, June 27, 2016

Diet Pepsi wametangaza kurudisha Aspartame kwenye vinywaji vyao.


Kampuni kubwa la Pepsi lenye kitengo kijulikanacho kwa jina la Diet Pepsi wameamua kurudisha tena ile sumu ya kemikali katika vinywaji vyao,wakidai kwamba hawawezi tena kutumia njia mbadala kwa afya njema kwa watumiaji.
Kampuni la Pepsi lilipata shida katika mauzo msimu uliopita kutokana na kuondolewa kwa sukari yenye utata katika vinywaji vyao.
Ap.org reports:
Kampuni la Pepsi limesema litazalisha sukari tamu ya hali ya juu iliyotengenezwa na aspartame kuanzia mezi wa tisa, katika 12-ounce cans, chupa ya lita-2 and 20-ounce bottles.Hii ni kwa ajili ya kuwafurahisha mashabiki wao wasioipenda ladha ya sasa ya kinywaji chao, ambacho kimetengenezwa na sukari bandia ya sucralose.
Lakini kampuni la Pepsi linasema Diet pepsi ambayo inatengenezwa na sucralose, ikijulikana zaidi kwa jina la Splenda, itabaki kuwa ya kwanza na ya kipekee kwa diet soda kutumia. Na makopo yatakayo tumia sucralose yatakuwa silver, na yale yatakayotumia aspartame yatakuwa light blue.
Wakati Kampuni la Pepsi walivyotoa aspartame katika vinywaji vyao mwezi wa nane, wanasema hayo mabadiliko ni ya kwanza kuwahi kufanywa na kampuni kwa ajili ya maombi ya wateja wake.
Pepsi wameamua kurudisha aspartame katika vinywaji vyao kutokana na kupungua kwa mauzo kwa asilimia 10.6, kwa mujibu wa sekta ya  tracker Beverage Digest.
Aspartame inahusishwa na saratani kwa utafiti uliofanywa kwa panya maabara, lakini imepitishwa kwa ajili ya matumizi ya  vyakula na madawa.
Wakati huohuo, Kampuni la pepsi limesema jumatatu kwamba Pepsi MAX itakuwa inatengenezwa kama Pepsi Zero Sugar nchini Marekani na bado itakuwa ina aspartame.
Fahamu ya kwamba Aspartame inauzwa kwa brand lenye jina la NutraSweet, Kwa mujibu wa  American Cancer Society, aspartame ina utamu mara 200 zaidi ya sukari.

Wanaharakati wanadai kuna uhusiano kati ya aspartame na maradhi haya:
-kansa
-kifafa
-maumivu ya kichwa
-huzuni
-machafuko upungufu wa umakini
-kizunguzungu
-kuongeza uzito
-kasoro za uzazi
-lupus
-ugonjwa wa Alzheimer

Diet Pepsi wametangaza kurudisha Aspartame kwenye vinywaji vyao. Diet Pepsi wametangaza kurudisha Aspartame kwenye vinywaji vyao. Reviewed by Bill Bright Williams on 11:02:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.