Updated Wednesday, June 29, 2016

Asilimia 20% tu ya watu dunianu wana dimples.


Wote tunaamini kwamba dimples zinavutia kwa wenye nazo na zinapendwa na watu wengi. Kwanini watu wengi wangependa 
wawe na dimple.Fahamu sababu zake hapa;
Dimples ni staili fulani ambapo misuli ya usoni inajiminya, ambapo wengine wanazaliwa nazo na wengine wanafanya upasuaji hili wawe na dimples.
Kwa mujibu wa imani za wanasayansi, hizi dimples zinawafanya watu wawe na muonekano mzuri na wanaonekana wadogo zaidi ya umri walionao.
Tamaduni nyingi duniani kote zinafikiria dimples ni ishara ya bahati nzuri na mafanikio. Aidha, dimples ni tabia za maumbile.

Isabella Gilbert kutoka Rochester, N.Y alipendelea kuwa na dimples, kwa hiyo alitumia miaka mingi katika maisha yake kutatua hili tatizo, alivumbua mashine ya dimples mwaka 1936.Kifaa hiki kina uwezo wa kuutengeneza uso na kufanya uwe 
na dimples.
Karibia asilimia 60% ya watu maarufu Hollywood wana dimples, ambayo inaonekana kama ishara ya uzuri.
Baadhi ya tafiti zinasema dimples zinaweza kumsaidia mtu kuwa na mvuto zaidi, na kuwa na uso wa kupendeza maisha yake yote.

Asilimia 20% tu ya watu dunianu wana dimples. Asilimia 20% tu ya watu dunianu wana dimples. Reviewed by Bill Bright Williams on 9:00:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.