Updated Tuesday, May 10, 2016

Rais Putin Anadai Malkia Elizabeth,"Si Binadamu"


Putin amewaambia wafanyakazi waandamizi na washirika wa karibu kwamba anaamini Malkia Elizabeth II umbo lake lilibadilika wakati akiwa wanasalimiana ikiwa ni kama akimuonyesha nguvu na kumpa onyo kutopambana na dominant reptilian-Illuminati bloodline.
Vladimir Putin amewaambia wafanyakazi wake waandamizi na washirika wake kwamba Malkia Elizabeth II si binadamu ni "reptilian kwamba anaweza kubadilika umbo lake kati ya reptile na binadamu" na kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vya Rais, Rais mwenyewe ameshuhudia kwa macho yake jambo hilo, na kwa maoni yake binafsi, Malkia alifanya hivyo kama onyo kwa yeye binafsi.
Putin walikutana na Malkia katika maadhimisho ya miaka 70 ya D Day Landings huko Normandy,Ufaransa mwaka 2014.Yeye alikuwa akikosolewa sana na vyombo vya Magharibi kwa kushindwa kusaidia tawala ya juu ya kifalme, na kujitenga zaidi kwa ujumla.
Na kwa sasa Rais Putin yupo mbali zaidi na malkia baada ya kushuhudia kubadilika kwa umbo kwa kiongozi huyo wa 
kifalme.
‘Malkia ana long reptile face,almost like a beak,and she is a sickly grey dish water color’
Aliweza kubadilika umbo kutoka umbo la binadamu, 'mara tatu au mara nne' wakati alipokuwa anamsalimia Putin.
Na baadae alimuona tena umbo lake likibadilika wakati alipokuwa anasaidiwa na viongozi wa dunia photo op by Barack Obama and New Zealand’s Governer General Jerry Mateparae.
‘Mikono yake ilibadilika na kuwa kama reptile wakati akisaidiwa kushuka ngazi.Wakati alipokuwa akitabasamu meno yake yalibadilika na kuwa makali kama ya reptile yaliyochongoka.
Rais Putin Anadai Malkia Elizabeth,"Si Binadamu" Rais Putin Anadai Malkia Elizabeth,"Si Binadamu" Reviewed by Bill Bright Williams on 1:34:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.