Updated Friday, May 6, 2016

Johnson & Johnson wameshindwa kesi, wanatakiwa kulipa $55m


Kampuni kubwa la madawa Johnson & Johnson  imepoteza kisheria kesi iliyokuwa inahusu moja ya power zake ijulikanayo kama talcum powder, ambayo ilikuwa inadaiwa kusababisha kansa.
Kampuni sasa inapaswa kulipa $55 million kwa mwanamke ambaye anasema amepata ovarian kansa kwa kutumia bidhaa zake.
Chini ya miezi 4 baada ya kupoteza $72 katika kesi huko St.Louis,Missouri,katika jengo la mahakama,Johnson & Johnson 
walitakiwa kulipa $5 million kama fidia na $50 million kama adhabu ya uharibifu kwa Gloria Ristesund.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 62 kusini ya Dakota nchini Marekani, aligundulika ana saratani mnamo mwaka
2011,ambapo yeye alisema,"moja kwa moja ni matokeo ya kutumia powder ya talcum" ambayo alikuwa anatumia zaidi ya 
miaka 40.


Johnson & Johnson wameshindwa kesi, wanatakiwa kulipa $55m Johnson & Johnson wameshindwa kesi, wanatakiwa kulipa $55m Reviewed by Bill Bright Williams on 11:20:00 PM Rating: 5
Powered by Blogger.