Updated Tuesday, May 10, 2016

Donald Trump: Chanjo za watoto zinasababisha utindio wa ubongoDonald Trump ameongea hadharani kuhusu hatari za chanjo, amesema anaamini kuwa chanjo husababisha autism.
Alikubali na kusema swala hilo lina utata,Trump alisema hawezi kupuuzia jambo hilo.Nimeona watoto wengi wakiwa na afya nzuri, na mara baada ya kwenda kupata chanjo, ikipita mwezi mmoja baada ya chanjo kwa mtoto utaona afya yake inadorora.

Intergalacticvault.com reports:
“Nimevutiwa sana na hii mada na naelewa vizuri kuhusu hilo swala,” Trump aliendelea kusema.
“Unajua, nina nadharia-na ni kwamba baadhi ya watu wanaamini kwenye hiyo nadharia-na nadharia hiyo ni chanjo.
Hakukuwa na kitu kama hiki.Hili sasa ni janga.
Hii ni njia,njia ya juu kwa kipindi cha miaka 10.Njia iliyotumika zaidi miaka miwili iliyopita.
Unajua,wakati ukimchukua mtoto mdogo mwenye kilo kama 5 na kumpeleka kwa daktari,na huko akachomwa sindano 
nyingi za chanjo--na kama mtoto wako baada ya miezi miwili ukiona mtoto wako kabadilika, ana tena ile afya ya mwanzo,
fahamu kuna kitu kimetendeka.Najua--nafahamu jambo hili
Donald Trump: Chanjo za watoto zinasababisha utindio wa ubongo Donald Trump: Chanjo za watoto zinasababisha utindio wa ubongo Reviewed by Bill Bright Williams on 3:42:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.